Wachezaji wanne wa Klabu ya Simba Gibril Kasali, Ismail Toure, Anicet Oura na Libasse Gueye,wamekabidhiwa gari zao na kampuni ya utengenezaji wa vifaa vyote vya michezo vya Simba SC Jayrutty.
Ikumbwe kuwa gari hizi zitakuwa mali ya Simba SC endapo wachezaji hao wataamua kwenda kutafuta changamoto nyingine au kuvunjiwa mkataba.
