Kwa taarifa za ndani kabisa inasemekana viongozi wa klabu ya Simba SC umefikilia kumtoa kwa mkopo mchezaji wao Jonathan Sowah au kuvunja mkataba wake kabisa.
Swala hili limekuja baada ya uongozi kutoridhishwa na mwenendo wa tabia za mchezaji huyo raia wa Ghana.
Mpaka sasa kinachosubiriwa ni kikao tu ambacho siku iliopagwa kufanyia kambi ya mchezaji ilidai ipelekwe mbele na sasa Simba na wao wameamua kunyamaza kimya mpaka pale wao watakavyo hitaji huu ni kama mfano wa kuonesha wao hawana haraka wala uhitaji wa mchezaji huyo kwa sasa
