Kocha wa timu ya Mashujaa FC Jamhuri Kihwelu "Julio" amewalaani vikali wachezaji wake na kuwatuhumu kuwa aliwambia wasifunge (Ramadhani) siku za mechi ila wachezaji wamegoma kutii agizo lake.
Julio amedai kuwa sare waliyoipata ya 1-1 imetokana na wechazaji wake kucheza wakiwa wamefunga na kugoma kufungulia hali inayopelekea kutokupata matokeo mazuri
