Polisi Tanzania FC inayonolewa na kocha Mbwana Makata haijapoteza mchezo wowote kwenye michezo 5 ya karibuni kwenye ligi ya Championship Tanzania Bara
4-0 V Gunners
1-1 V B19
1-2 V Hausung
2-0 V Stand United
2-0 V Geita Gold FC
Michezo 3 inayofuata watacheza dhidi ya BigMan FC , Transit Camp na Kagera Sugar

