BAADA ya vyanzo mbalimbali kuripoti kuwa Rulani Mokwena yupo mbioni kujiunga na Al Ittihad ya Libya imekuwa taarifa njema kwa nyota wa timu hiyo Stephane Aziz Ki.
-
Aziz Ki alijunga na Al Ittihad akitokea Wydad Club Athletic ya nchini Morocco.
-
Ikumbukwe Mokwena ndiye kocha aliyemsajili Aziz Ki katika Klabu ya Wydad akitokea Yanga.
-
"Nina furaha sana kusema ukweli," alisema Aziz Ki.
#spotileo #spotileoupdates #michezoupdates
