Kocha mkuu wa klabu ya Simba SC Steve Barker raia wa Afrika Kusini, amesema leo kuelekea mchezo wao dhidi ya Singida Black Stars kwamba wanataka kushinda mchezo huo Ili waondoke na alama
Amesema wachezaji wako imara kuhakikisha wanacheza kwa viwango vizuri ili kushinda mchezo huku wakiwa na uelewa kuwa Singida ni timu ambayo ina wachezaji pia wenye uwezo mkubwa.
Kwa upande wake mchezaji wa Simba Daudi Semfuko amesema wamejianda kuipambania timu hiyo katika kuhakikisha ushindi unapatikana.
Mchezo huu utachezwa kuanzia saa 10:15 jioni
