Jean Charles Ahoua ameingia kwenye rekodi ya aina yake baada ya kuingia nusu fainali ya kombe la Shirikisho Afrika mara mbili mfululizo akiwa na timu mbili tofauti Simba SC na CR Belouizdad.
Huku akikutana na timu ile ile moja katika Robo fainali mbili za Cafcc na amefanikiwa kuitoa timu hiyo katika hizo robo fainali mbili Al Masry.
Msimu Jana Al Masry alikutana na Simba SC katika hatua ya robo fainali na alitolewa na Simba SC Ahoua akiwa sehemu ya kikosi cha wekundu hao wa msimbazi
Msimu huu Al Masry ametolewa na Cr Belouizdad katika hatua ya Robo fainali huku Ahoua akiwa sehemu ya kikosi hicho cha Ligue 1 pale Algeria
Ahoua amekuwa na Bahati na Al Masry
