Inno Loemba hapa ametengeneza chuki kubwa dhidi ya wananchi.. Derby yake ya kwanza akatumika kwa maelekezo maana baada ya Dickson Job kutoka akamfanyia Faulo mbaya Ibrahim Bacca
Huu si uungwana hata kidogo kwa mchezaji kumfanyia vitendo vya kumuharibia kazi inayompa chakula mchezaji mwenziyo eti kisa tu uonekane bora....
