Tangu ateuliwe kuifundisha Tanzania (Taifa Stars), Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania, Miguel Gamondi hajashinda mechi yoyote akiwa na timu hiyo.
FIFA SERIES 2026 RWANDA
FT: Tanzania 0-1 Liechtenstein
AFCON 2025 MOROCCO
FT: Morocco 1-0 Tanzania
FT: Tunisia 1-1 Tanzania
FT:Uganda 1-1 Tanzania
FT: Nigeria 2-1 Tanzania
MECHI YA KIMATAIFA YA KIRAFIKI
Kuwait 4-3 Tanzania
NEXT : FIFA SERIES 2026
Macau vs Tanzania
Hata hivyo Gamondi amekuwa kocha wa kwanza nchini kuiwezesha Stars kufika hatua ya 16 bora ya kombe la mataifa Afrika, AFCON 2025 zilizofanyika Morocco huku timu ya Morocco ikitawazwa mabingwa.
