Achraf Hakimi baada ya CAF kutoa uamuzi wa kuwapa Morocco ubingwa wa AFCON 2025 baada ya kuwanyima Senegal taji kwa sababu ya Sababu za Kugomea Mchezo.
“Kwa kweli, haileti Picha Nzuri. Tulishindwa mechi uwanjani na kila mtu anajua hivyo. Sielewi kwanini CAF waliamua kuibadilisha baadaye.”
“Kuambiwa kuwa wewe ni mabingwa miezi kadhaa baadaye haimaanishi ulishinda mechi kwa kweli.”
