Simba wapo tayari kuwavaa Yanga Zanzibar

Wachezaji wa timu ya Simba SC wakiwa Zanzibar tayari kwa ajili ya mtanange wao dhidi ya Yanga SC siku ya Jumapili katika uwanja wa New Amaan Stadium, mchezo wa Ligi Kuu bara.

Wachezaji wa Simba SC wakiwasili.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI