Pacome yupo tayari kwa dabi, akwea boti kuwafuata Simba
Kiungo Mshambuliaji wa Kimataifa wa Ivory Coast na Klabu ya Yanga SC, Pacome Pedoh Zouzoua amesafiri na Kikosi cha Yanga kuelekea visiwani Zanzibar tayari kwa mchezo wa Derby dhidi ya Simba SC.
.
Pacome ameshapona na yupo tayari kuwakabili Simba, uwepo wa Pacome unazidi kuwachanganya mashabiki wa Simba ambao bado hawana furaha anapokuwepo mchezaji huyo kwenye kikosi cha Yanga.
