Mzize uso kwa uso na Skudu Makudubela Afrika Kusini

Winga wa zamani wa Yanga SC, Skudu Makudubela amekutana na Mshambuliaji wa Yanga SC, Clement Mzize ambaye yupo Afrika Kusini kupatiwa matibabu ya mguu.
.
Skudu alimpelekea Mzize ujumbe wa kumtakia heri ya kupona haraka kupitia Ki-memo alichobeba.

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI