Dudubaya awashukuru mashabiki wake baada ya upasuaji India

Mwanamuziki mkomgwe wa muziki wa kizazi kipya, Bongofleva, Godfrey Tumaini "Dudubaya" ametoka salama katika chumba cha upasuaji huko Delhi, India amesema kwasasa anaendelea vizuri.

Dudubaya amefanyiwa upasuaji wa kuweka sawa pingili za mgongo, mwanamuziki huyo mkongwe amemshukuru Mungu, madaktari, mashabiki wake na wote wanaomtakia mema.

Dudubaya amepelekwa India kufanyiwa upasuaji wa pingili na mpenzi wake Wastara Ili amuoe.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI