Bao pekee la Sadio Mané dakika ya 78 limewapa ushindi wa 1-0 dhidi ya Misri na kuifanya Senegal kutinga Fainali ya AFCON.
Senegal atakutana kwenye Fainali na timu moja wapo kati ya wenyeji Morocco au Nigeria ambazo zinacheza usiku wa leo.
Senegal leo wametinga Fainali yao ya tatu katika AFCON 4 zilizopita.
