Kocha mkuu wa Yanga SC, Pedro Goncalves raia wa Ureno, amesema mchezo wao wa kesho dhidi ya Mashujaa FCutakuwa mgumu- na mkali kwakuwa wanazuia sana kwani mpaka sasa wameruhusu magoli 4 katika mechi 9 walizocheza.
Yanga na Mashujaa FC watakutana kesho mchezo wa Ligi Kuu bara, aliyesema hayo katika press.
