Stellenbosch wamemchukua legend wa mpira wa Afrika Kusini Gavin Hunt kuchukua nafasi ya Steve Barker ambaye amejiunga na Simba.
Gavin alikuwa na nyakati nzuri akiwa kocha wa Supersport ila miaka ya hivi karibuni amekuwa na changamoto ya kupata matokeo mazuri yenye muendelezo, Stellenbosch wanategemea uzoefu wake utawasaidia.
