Wakati Simba wapo sokoni kutafuta Kipa wa kuziba pengo la Mousa Camara na Yakubu Seleman ambao wote watakosekana kwa muda kidogo.
Simba walifikilia kuongeza kipa ambae ni Malimi wa Mtibwa Sugar au Yona Amos wa Pamba jiji.
Lakini taarifa mpya ni kwamba Simba wameamua kumchukua Ally Salim Khatolo kipa wao wa zamani ambae anakipiga Dodoma Jiji kutokana na Experience,Ubora na Kuelewa mazingira ya klabu pia alishawahi kucheza dhidi ya mechi kumbe za CAF kama robo fainali dhidi ya Wydad Athletic
