Klabu ya Simba SC inadaiwa kuingia kwenye mazungumzo ya awali na Kocha wa Singida Black Stars, Miguel Ángel Gamondi, kwa uwezekano wa kujiunga na klabu hiyo kama Kocha Mkuu baada ya kukamilika kwa majukumu ya AFCON.
Kwa sasa, hakuna uthibitisho rasmi kutoka pande husika, huku maamuzi yakisubiri mchakato wa majadiliano na ratiba za majukumu ya kitaifa.
