Nicolas Jackson amefunga magoli mawili na kuisaidia Senegal kuibuka na ushindi mnono wa 3-0 dhidi ya Botswana kwenye mchezo wa Kundi D dimba la Ibn Batouta.
Mabao ya Senegal yamefungwa na Nicolaus Jackson (mawili) dakika ya 40 na 58 na Ndiaye dakika ya 90.
MSIMAMO KUNDI D (baada ya mechi za raundi ya kwanza:)
1. Senegal — pointi 3
2. DR Congo — pointi 3
3. Benin — pointi 0
4. Botswana — pointi 0
