Sasa itakuaje kwa skipper Bakari Mwamnyeto hii performance ya AFCON halafu pale Yanga sio chaguo namba moja.
Bila shaka Pedro Goncalves ana furahia kuwa na matatizo ya hivi, Kama Bakari anacheza kwa nidhamu kubwa dhidi ya mataifa makubwa itakuwa vipi akae benchi kwenye mechi kubwa za kimataifa za Yanga.
Bacca, Bakari, Mohamed Hussein, Diarra, Dube na Job, sidhani kama kuna ubishi kuhusu kile ambacho wamefanya kwenye haya mashindano na kwanini Yanga wanaendelea kuwa watawala.
