Morice Abraham alikuwa miongoni mwa target za Yanga kwenye dirisha dogo kwa kuwa awali Morice alikuwa na mkataba wa miezi sita (6).
Niliwahi kuongea hapa kuwa miongoni mwa vitu vigumu kwa Morice ni wasimamizi wake na miongoni ni Mbwana Ally Samatta jamaa amenyooka sana hana kona kona.
Hawajaruhusu migongano mingi kwa mchezaji wao kumpotezea muda walikaa na Simba kujua mpango wa timu kwa mchezaji wao, Simba wakamtandika nyundo ya miaka miwili kuendelea kusalia hapo.
Nathibitisha
Morice ataendelea kusalia Simba kwa miaka mingine miwili mbele ikiwa mpaka atakapopata timu nje na Tanzania.
