Kinachomuweka benchi Kagoma hiki hapa

Yusuf Kagoma hajapata dakika nyingi kwenye AFCON sio kwa sababu hajui bali Miguel Gamondi anavyotaka timu yake icheze ni tofauti na style ya Kagoma.

Alphonce Mabula Msanga he was rapid alikuwa kila sehemu ya uwanja, Kagoma ametulia wanaweza kucheza wote pamoja lakini Miroshi anafanya vizuri vizuri kwa hiyo sio lack of quality kwa Kagoma but style of playing ya kocha.




Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI