Baada ya Tanzania kutinga hatua ya 16 bora AFCON inayoendelea nchini Morocco, kaimu kocha mkuu wa timu ya taifa Taifa Stars, Miguel Gamondi amesema kwamba ushindi walioupata Stars ni maalum kwa watu waliopatwa na majanga ya 29 Oktoba wakati wa uchaguzi.
"Hili Heshima kwa yalio ikuta Tanzania Tarehe 29, natoa hesima zangu za Dhati kwa wale wote walio poteza Maisha Yao "
Kocha Miguel Gamondi Via BBC
