Kwasasa lango la Simba lipo katika umiliki wa sura mpya ambayo ni mwamba Yakoub Suleiman, atakuwa langoni kama kipa namba moja katika michezo yote iliyopo mbele yao mara baada ya taarifa za Camara kuwa Nje kwa muda mrefu.
Taarifa zinaripoti kuwa Mussa Camara atakuwa nje ya lango kwa muda wa miezi 3 na zaidi, hivyo kwasasa wana Simba wakae na wasahau kabisa kuhusu Camara na tumaini lao libaki kwa golikipa mzawa Yakoub Suleiman
