Zachini kabisa naambiwa baadhi ya viongozi wa Simba wanaendelea na vikao kimya kimya Ili kumuondoa Mohamed Dewji maarufu MO ndani ya klabu hiyo kama mwekezaji.
Inasemekaka kuwa Mo ndo amekuwa sababu ya klabu hiyo kuzidi kushuka kiwango msimu Kwa msimu kutokana na uwekezaji wake ndani ya klabu kuwa mdogo.
Hata suala la CEO wa Simba, zubeda Sakuru kuongezewa mkataba Unaambiwa MO haja husika na chochote na wala hana taarifa.
Awamu hii viongozi wako serious kumuondoa MO na wamesema hawatarudi nyuma ni bora klabu itembeze bakuli.
