Aliyewahi kuwa kocha wa Young Africans,Noel Mwandila ameteuliwa kuwa kocha wa washambuliaji wa timu ya taifa ya Zambia ambayo kwa Sasa itakuwa chini ya kocha Moses Sichone ambaye anachukua nafasi ya Avram Grant aliyeachana na timu hiyo hivi karibuni.
Benchi kamili la timu ya taifa ya Zambia ambalo litasimamia timu AFCON nchini Morocco hili hapa,
Kocha Mkuu: Moses Sichone
Kocha Msaidizi wa Kwanza: Andrew Sinkala
Kocha Msaidizi wa Pili: Perry Mutapa
Kocha wa Magolikipa: Kennedy Mweene
Kocha wa Mazoezi ya Viungo: Joseph Musonda
Kocha wa Washambuliaji: Noel Mwandila
