Taarifa za kiutondoti bado zinaeleza kuwa Mnyama Simba SC bado yupo kwenye rada za kumnasa kocha Sebastien Serge Louis kuwa kocha mkuu,
Louis anakuja kurithi mikoba ya Meneja Dimitar Pantev ambaye yupo kwenye kikosi cha Mnyama, Louis atakuwa kocha mkuu huku akisaidiana na Seleman Matola kwenye benchi hilo,
Kwasasa Louis anakinoa kikosi cha timu ya taifa ya DR Congo.
