WENYEJI, KMC wamelazimishwa sare ya bila mabao na Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa KMC Complex,
Mwenge Jijini Dar es Salaam.
Kwa matokeo hayo ambayo kila timu inajiongezea pointi moja — KMC inafikisha pointi nne katika mchezo wa nane ingawa inaendelea kushika nafasi ya mwisho kwenye Ligi ya timu 16 na Mtibnwa Sugar wanafikisha pointi sita katika mchezo wa sita
