Kibu Denis afiwa na baba yake mzazi

Kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Kibu Denis Prosper amefiwa na baba yake mzazi usiku wa kuamkia leo huko mkoani Kigoma.

Taarifa iliyotolewa na klabu yake ya Simba, imesema mchezaji huyo ataungana na nduguze katika msiba na taarifa za maziko zitawajia katika ukurasa huu wa Mambo Uwanjani Blog