Kuna uwezekano mlinda mlango wa Klabu ya Yanga,Djiguir Diarra akafungiwa mizunguko mitano ya NBCPL ilielezwa kuwa atakutana na adhabu hiyo baada ya kuonekana akimsukuma mchezaji wa Mtibwa Sugar ,Omar marungu kwenye mchezo ambao Wananchi waliibuka na ushindi wa bao 2-0.
.
Iwapo Diarra atafungiwa ataikosa Derby ya Kariakoo itakayopigwa Disemba 13,2025.
.
Mechi mbili za Yanga kabla ya Derby ni dhidi ya KMC Novemba 9 na dhidi ya Coastal Union ya Tanga Disemba 10,2025!
