Kocha mkuu wa Yanga SC, Roman Folz raia wa Ufaransa, amesema kikosi chake kitakaa sawa hivi karibuni na amewataka mashabiki wa timu hiyo kukaa mkao wa furaha.
“Kila mchezaji anaeonesha mazoezini atapewa mechi,lakini kila mchezaji atacheza kwenye timu yangu,yote ni kwasababu nawahitaji wawe Fiti muda wote kwasababu mbele kuna mashindano mengi
Kwasasa hatuwezi kuwa na huo ubora lakini kuna kipindi kinakuja timu itakuwa bora sana chini yangu”
Kocha mkuu wa kikosi cha Yanga Sc”Romain Folz”