Rasmi Afisa habari wa Simba SC Ahmed Ally amethibitisha mechi ya Simba SC dhidi ya Gaborone United Jumapili hii haitakuwa na mashabiki wana tumikia adhabu ya CAF.
Adhabu hiyo ilitokana na mchezo dhidi ya Al Masry ambapo kuna shabiki aliingia uwanjani na kuna mashabiki waliwasha moto.
Adhabu hiyo inakwenda pamoja na faini ya Dola 50,000 Sawa na Tsh Million 123,