Sheria Ngowi avunja mkataba na Gor Mahia
Klabu ya Gor Mahia ya nchini Kenya imevunja rasmi mkataba na mbunifu wa jezi zao ndg Sheria Ngowi ambaye ndiye alitengeneza jezi za klabu hiyo msimu uliopita.
Huo ni mkataba wa pili kuuvunja, hasa baada ya kuanza kuvunja mkataba na klabu ya Yanga SC ya Tanzania.