Huenda mchezo wa Yanga dhidi ya Mbeya city ukawa mchezo wa mwisho kwa kocha Romain Folz baada ya viongozi wakubwa wa juu wa Yanga kutoridhishwa na mwenendo wa timu
Licha ya Yanga kupata ushindi kwenye mechi zao zote lakini timu hiyo imeonekana kutocheza soka safi
Yanga wameona wamlete kocha mwingine kabla ya kwenda kwenye International Break ili angalau kocha mpya apate muda wa kukaa na timu