Taarifa zilizonifikia punde ni kwamba kocha wa zamani wa mabingwa wa soka nchini Yanga SC na Kaizer Chief ya Afrika Kusini, Nasreddine Nabi anatambulishwa na Simba SC.
Baada ya mabingwa hao wa zamani nchini kuachana na kocha wake Fadlu David's raia wa Afrika Kusini, imegeukia kwa Nabi ambaye ameachana na Kaizer Chief.
Lakini zipp taarifa nyingine kwamba Nabi amewasili nchini kwa ajili ya kurejea kwenye klabu yake ya zamani ya Yanga ambayo kocha wake Roman Folz aendani nao.