Kuelekea mchezo wa kesho kati ya wenyeji Mbeya City dhidi ya Yanga SC kocha mkuu wa the purple nation Malale Hamsini amesema kuwa wamejipanga vizuri kuikabili Yanga na kesho wataweka washambuliaji wengi ili kupata ushindi wa alama tatu.
Mechi itapigwa kuanzia majira ya 10:15 jioni kwenye dimba la Sokoine jijini Mbeya