Simba yaanza na Morice Abraham

Kiungo fundi Morice Abraham amejiunga na simba sc kwa mkataba wa miaka miwili,

Kiungo huyo mshambuliaji siku za hivi karibuni akifanya mazoezi na simba baada ya kuachana na club ya Fk spartak subotica ya Serbia,

Kocha fadlu ameridhika na uwezo wake na rasmi sasa ni mchezaji wa simba sc,


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI