Siwezi kutoka kimapenzi na mwanaume masikini- Jennifer Kanumba
Hanipha (Jennifer Kanumba) ni moja ya staa wa filamu waliojichukulia umaarufu kupitia mgongo wa Marehemu Steven Kanumba katika filamu za This is it na Uncle JJ.
Hivi karibuni Jennifer Kanumba ameweka wazi kuwa hawezi kutoka kimapenzi na mwanaume asiyeweza kumtimizia kila hitaji la moyo wake.
"Kuwa kwenye mahusiano sio tatizo, tatitizo ni kudate na mtu asiyeweza kukutimizia mahitaji yako, Kwa upande wangu siwezi kudate tuu bali nahitaji mwanaume anayeweza kunitimizia kila kitu nitakachokitaka."- Amefunguka Jennifer Kanumba.
