UJUMBE kwa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso Traore umewasilishwa na Rais mstaafu wa Tanzania Jakaya Kikwete Ikulu ya Burkina Faso.
Hizo zote ni juhudi za Rais Samia nje ya mipaka ya Tanzania katika kustawisha demokrasia baina ya nchi na nchi, Rais mstaafu Kikwete amekuwa akitembelea mataifa mbalimbali kupeleka ujumbe wa Samia.
#Tupo-NaMama

