Blionea na Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi Simba SC, Mohammed Ghulam Dewji ameweka Bonasi ya fedha za Kitanzania Milioni 700 kwa Wachezaji na benchi la ufundi Simba SC ikiwa wataivusha Simba kwenda Nusu fainali kombe la Shirikisho barani Afrika hapo kesho dhidi ya Al Masry
Mo hajaishia hapo kwani amesema pia magoli yakianzia manne kwenda juu kila goli ni million 100
