Matty wa series ya Dunia yamkuta makubwa
Inasemekana kwamba msanii mahiri wa series ya Dunia, aitwaye Matilda atakosekana kwenye series hiyo na inadaiwa ameolewa.
Kwa sasa waandaaji wa tamthilia hiyo wana mtafuta mbadala wa Matilda au Matty ambaye atachukua uhusika wake kwenye Dunia.
Hhabari niliyonayo ni kuwa Matilda kaolewa hivyo aliyemuoa hataki ajihusishe na uigizaji.
Kwa sasa waandaaji wametangaza nafasi moja kwa binti mwenye sifa za kujua kuigiza na awe mweupe anahitajika Kwa haraka iwezekanavyo.
