Hawa ni STELLENBOSCH wapinzani wa SIMBA nusu fainali ya kombe la shirikisho barani Afrika, ni timu kutoka Afrika kusini wametinga nusu fainali baada ya kuwaondosha mabingwa watetezi Zamalek ya nchini Misri
Ni timu iliyoanzishwa 2016 na kupanda ligi kuu ya Afrika kusini mwaka 2019, hawana historia ya kutisha kwenye haya mashindano lakini mwaka huu wapo kwenye form nzuri
Nusu fainali ya kwanza Simba wataanzia nyumban tar 20 ya mwezi huu kisha mchezo wa marudiano Simba watamalizia ugenini tar 27 ya mwezi huu
