Iwapo kesho Simba itashindwa kufuzu nusu fainali kombe la Shirikisho barani Afrika na kutolewa na Al Masry katika uwanja wa nyumbani wa Mkapa, kocha mkuu wa Simba SC, Fadlu David's atajiuzuru.
“Nipo hapa Simba kupata mafanikio na sio kuona timu kubwa kama hii inafeli.
Hahaha! Wachezaji wangu nimewaruhusu wacheze kwa staili fulani na kama wanapoteza au wanashindwa kufikia malengo ni mimi ndiye ninawajibika…! Ni mara zote inakuwa hivyo”
Fadlu Davids kuhusu Kama Simba itaondoshwa na Al Masry!
