Zahera hajashindwa kufundisha- Mkiti Namungo
"Kimsingi siyo suala kwamba ameshindwa (Zahera) kufundisha, na hili naomba niliweke wazi hata wakati anakuja kutusaidia alikuwa amekuja kutusaidia wakati tupo kwenye kipindi cha mpito."
"Na wakati tulikuwa tumekaa naye kitako, tulimueleza kwamba lengo letu hatutaki kumchukua kama Mwalimu mkuu bali kwenye eneo hilo kama Technical Director."
Mwenyekiti wa Namungo FC