Yanga kumrejesha Mayele
Mshambuliaji wa Pyramids na Timu ya Taifa ya Congo Fiston Mayele yupo kwenye mipango na rada ya kurejea Yanga SC.
Wananchi wanaitaji huduma yake.Kupitia watu wa karibu wa Fiston Mayele ni kuwa nyota huyo pia ana tamani kurejea mitaa ya Twiga na Jangwani endapo akiondoka ndani ya Pyramids.