Sintofahamu ya Stephanie Aziz Ki, mechi 6 goli 1

Kiungo wa Young Africans, Stephane Aziz Ki msimu uliopita alimaliza akiwa mfungaji bora ambapo alifanikiwa kufunga mabao 21 na kutoa pasi za mabao 8,Jumla alihusika katika mabao 29 kati ya 71 yaliyofungwa na Young Africans.

Msimu huu mpaka sasa amecheza michezo 6,dakika 435 na amefanikiwa kufunga bao 1 na kutoa pasi za mabao 2 pekee, Hivyo amehusika katika mabao 3 pekee kati ya mabao 11 yaliyofungwa na Young Africans.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA