Simba yanyakua nyota wa Uturuki
Anaitwa Foday Trawally kijana mwenye Umri wa miaka 23 .50% ni Mnyama kwani Tayari amesaini mkataba wa awali na Club ya Simba.
Foday Trawally amesaini mkataba wa awali wa miaka mitatu, mkataba huu utamuweka Simba hadi 2027
Trawally anatarajiwa kujiunga na klabu ya Simba mwishoni mwa msimu huu akitokea Brikama United FC
Trawally aliwahi kuichezea Paide Fc ya Estonia kabla ya kuondoka kwenda Uturuki na Tuzlaspor Ikicheza ligi ya Uturuki 1