Prince Dube amelogwa
Mshambuliaji wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu bara, Prince Dube Mpumalelo raia wa Zimbabwe amesema tangu alipojiunga na Yanga anajihisi kupata maumivu makali ya kichwa anapokuwa uwanjani.
Kwa mana hiyo Dube ni kama anafanyiwa mambo ya 'kiswahili' na watu wasiojulikana.
"Tangu nijiunge na Yanga katika kila mechi ninayoanza nahisi maumivu makali ya kichwa napokuwa uwanjani.”-price Dube Mshambuliaji wa klabu ya Yanga SC