KMC YAICHAPA PRISONS KWAO
Timu ya Tanzania Prisons ya mkoani Mbeya imeshindwa kuutumia vema uwanja wake wa nyumbani baada ya kufungwa mabao 2-1 na KMC ya kutoka Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Daruweshi Saliboko katika dakika ya 16 na 57 alipeleka kilio kwa maafande wa Tanzania Prisons baada ya kufunga mabao yote mawili, Mwajanga katika dakika ya 74 aliifungia Prisons